Aisee DSTV!

Kuelekea mkutano wa korosho wa ACA Dar: Korosho zote zilizo kwenye maghala zitauzwa kabla msimu mpya haujaanza

Hayo yamesema na Mr Francis Alfred wa Bodi ya Korosho katika mkutano na waandishi wa habari Serena jijini Dar es salaam wakati wakitangaza Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa 13 wa korosho na maonyesho kuanzia 7-8 November mwaka 2019 katika Ukumbi wa JNICC Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW