Kuelekea siku ya mtoto wa kike duniani, ifahamu mikoa minne Tanzania inayoongoza kwa ndoa za utotoni (+Video)

Kuelekea siku ya mtoto wa kike Dunia, Taasisi ya ‘Msichana Initiative’ wamefanya mjadala na wadau mbalimbali kuhusu ni kwa namna gani ndoa za utoto na ukeketaji kwa mtoto wa kike vitatokomezwa nndapo kila mmoja atatumia nafasi yake lakini pia kuiomba Serikali kuweza kuweka sheria za kupinga ndoa za utotoni na mimba za utotoni wa kike pia na ukatili wa kijinsia.

Akizungumza na Bongo 5, Mkurugenzi Mtendaji wa Msichana Initiative, Rebeca Gyumi alisema kuwa kabla ya utafiti wa mwaka 205/16 ndoa za utotoni zilikuwa asilimia 37 kwahiyo kwa utafiti unaosubiriwa kwa sasa ambao unaitwa utafiti wa watu na afya ndoa za utotoni zitakuwa zimepungua sana.

Akiutolea mfano mkoa wa Iringa kuwa ndio mkoa unaoongoza kwa asilimia ndogo ya kuwa na ndoa za utotoni huku ukielezwa kama mfano na kushauriwa watu wa mikoa mingine kutumia mfano wa mkoa wa Iringa ambao umetokomeza kabisa, imetajwa mikoa minne inayyongoza kwa ndoa za utoto kwa kutumia takwimu za Serikali ambayo ni.

1. Shinyanga ukiwa na asilimia 59
2. Tabora
3.Mara
4. Dodoma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW