Burudani

Kuhusu TID na Joe Thomas

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, TID amesema Joe Thomas ndiye aliyemvutia hadi kuingia kwenye muziki.


Muimbaji huyo amebainisha hayo alipokuwa akifafanua juu ya jina lake kwa kusema mwanzoni alikuwa akiitwa Tid lakini akajakugundua yeye ni Top In Dar ndipo alipobadilisha.

“Tid alikuwa anapenda kusikiliza albamu mzima ya Joe Thomas, kwa mfano albamu ya Joe Thomas yenye muziki wa Good Girl, so mimi niki-practice nyimbo zote, nikikariri nyimbo zote that is my tuition, so had been inspired a lot na mwanamuziki Joe Thomas,” ameiambia EA Radio.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents