Habari

Kumbukumbu: Tarehe kama ya leo ndio siku ambayo Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela alifungwa jela mwaka 1964

Siku kama ya leo (June 12) mwaka 1964 viongozi wapatao 8 wa chama cha ANC akiwemo rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela walihukumiwa kwenda jela, ambako mzee Mandela alitumikia kifungo kwa miaka 27.

mandela3

Mzee Madiba ambaye leo anafikisha siku ya 5 akiwa amelazwa hospitalini akisumbuliwa na mapafu huko Afrika Kusini, ndiye alikuwa rais wa kwanza mweusi kwa taifa hilo.

Kwa mujibu wa BBC Kwa sasa Afya ya Mandela bado si nzuri na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anaendelea kuwaomba wananchi wa taifa hilo kuendelea kumuombea mzee Madiba aweze kupona.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents