Michezo

Kumkaba Messi lazima usali kwanza – Chiellini

Kwenye mchezo wa mpira wa miguu kwa sasa ni vita kubwa kati ya wachezaji wawili, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

chiellini

Beki wa timu ya Juventus na timu a taifa ya Italia, Giorgio Chiellini amesema kabla hujaanza kumkaba Messi lazima uanze kusali kwanza.

Chiellini ameiambia Eurosport kuwa, “Kumkaba Ronaldo ni rahisi sana, unatakiwa kumdhibiti asipate mpira kwenye mguu wake wa kulia. Kumkaba Messi ni ngumu sana, lazima uanze kusali kwanza.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents