Burudani

Kumsogelea Diamond sio kitu rahisi – Lava Lava

Msanii mpya ndani ya lebo ya WCB, Lava Lava amefunguka na kusema si kazi rahisi kusogelea mmiliki wa lebo hiyo, Diamond Platnumz, kitu ambacho kilipelekea yeye kukaa ndani ya lebo hiyo kwa mwaka mmoja bila kumuona.

Lavalava

Lavalava ameiambia Citizen Radio, Kenya kuwa kumsogelea Diamond ni vigumu kutokana na uongozi wake ambao unambana sana na ndio unashughulika na mambo yote ya kawaida.

“Ikawa inanivunja moyo sana, kwamba sasa itakuwaje na ndoto zangu ni kumuona Diamond kwa sababu ni kioo chetu mtaani tunamuangalia nikaona kama itakuwa hanifuatilii kumbe yeye anafuatilia stori zangu sema ni katika kuniona kama nina moyo na uvumilivu,” amesema Lava Lava.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents