Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Kuna uwezekano ukaisikia hii kutoka kwa Diamond na Swizz Beatz muda wowote

By  | 

Tobo la muziki wa Diamond Platnumz kupenya nchini Marekani linazidi kupanuka.

Sasa hutakiwi kushangaa endapo utasikia ngoma mpya kutoka kwa msanii huyo wa WCB akiwa na mtayarishaji mkubwa wa muziki duniani, Swizz Beatz ambaye pia ni mume wa msanii maarufu Alicia Keys.

Kupitia video ambayo Diamond ameiweka kwenye mtandao wake wa Instagram, Beatz ame-comment na kuonyesha kuwa tayari kuna uwezekano wameshafanya ngoma mpya. “@diamondplatnumz Happy Birthday my brother I can’t wait until we kill a track soon!!!! HBD Chibu⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️,” ameandika Beatz.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW