Burudani

Kundi la Dream Boyz kutoka Rwanda lashambuliwa mitandaoni kwa ku-copy & paste wimbo ‘sikinai’ wa Beka Flavour (+videos)

Kundi maarufu la muziki nchini Rwanda la Dream Boyz Rwanda limejikuta likishambuliwa na wadau wa muziki wakiwemo mashabiki wao nchini humo baada ya ku-copy & Ku-paste wimbo wa ‘SIKINAI’ wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Beka Flavour uliotoka mwaka mmoja uliopita.

Wadau walianza kuliandama kundi hilo kwenye mtandao wa YouTube mapema baada ya video ya wimbo huo wa Romeo & Julieth kutoka wiki ilyopita.

Wadau wengi waliosikiliza ngoma hiyo wametoa maoni kuwa kitendo hicho si cha kiungwana na kinarudisha nyuma maendeleo ya muziki wa Rwanda.

Hugo Pro1 day ago
I’m wondering finding even the movement(dance) of Beka in this Rwandan video. OMG but why did they cheat from the beat, vocals till video kkkkkkkkkkkkkkkk?

Gicu Nkuba3 days ago
Bateruye Sikinai ya Beka Flavour, amagambo y’igiswayire bayashira mu Kinyarwanda.

Remy Ndaribike6 days ago
Iyi beat birahuye sana na Sikinai ya Beka flavour ariko sipbi.

adolf musolini16 hours ago
Did you guys really think that we wouldn’t realise that you had ‘stolen’ Beka flavour’s style, beats and the tune?? This is so not right. You should be authentic!!

Formelle Omar15 hours ago
At least have little shame for taking someone else’s song. YouTube should sue for taking someone’s song

George Prince5 days ago
Nice song but it’s copy and paste from Bake Tanzania 🇹🇿

Wimbo huo mpaka sasa tayari umetazamwa mara 93,000 na una wiki moja tangu utoke. Hata hivyo kundi hilo bado halijazungumza chochote kuhusu tuhuma hizo.

Kwa upande wake Beka Flavour yeye amepokea kwa furaha taarifa hizo kwa kuandika “Niwafanye nn hawa #WARWANDA jaman naomba ushauri, wamecopy wimbo wangu wametoa bila ridhaa yangu, nawauliza et wanasema sitaki kwenda kufanya show kwao ndomana wameamua waurudie arafu wajifanyie show wenyewe nimecheka sana.Sema apo mm ndo ningecopy kwao kama nawaona watanazia vile wavyojuaga kuedit copy and pest sema najisikia faraja sana kuona ukubwa na uzuri wa mziki wangu kizuri sio kilema sio mpaka magongo kulazimisha kutembea wakati hakiwezi mwisho wa siku kinatembea lakin kwa kufosiwa 🤣🤣“.

Sikiliza nyimbo zote mbili hapa chini ya Beka Flavour ‘SIKINAI’ na huo wimbo wa Romeo & Juliet wa Dream Boyz Rwanda.
https://youtu.be/2FfRDWRtqs8

Related Articles

3 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents