Tia Kitu. Pata Vituuz!

Kundi la TNG Squad larudi kwa kishindo, Wampongeza Harmonize kwa hili “TID na Juma Nature mungu awabariki sana” – Video

Kundi la TNG Squad larudi kwa kishindo, Wampongeza Harmonize kwa hili "TID na Juma Nature mungu awabariki sana" - Video

Kundi la muziki la TNG SQUAD ambalo lilisifika kutoka mkoani Tanga lililotamba na ngoma mbili kubwa #Bongo.com na #Ring on it kuanzia mwaka 2005 limerudi kwa kishindo.


Wakipiga stori na Bongo5 wasanii wanaounda kundi hilo ambao ni TINYE @nas_wakitaa pamoja na Mr G one wamefunguka kilichowapoteza kwenye ramani ya muziki wa Bongo Fleva. TNG SQUAD pia wameachia ngoma mpya KARATA na wanawaomba Watanzania kuwasapoti kwa mara nyingine.

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW