Michezo

Kuona mechi ya Yanga vs TP Mazembe June 28 2016, kiingilio ni bure

Uongozi wa klabu ya Yanga June 26 umeamua mechi yao dhidi ya TP Mazembe keshokutwa Jumanne itakuwa bure.

Mashabiki wataingia bila kulipa kiingilio kushuhudia mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

uamuzi huo umepitishwa baada ya viongozi wa Yanga kukutana katika kikao cha pamoja na Mwenyekiti, Yusuf Manji.

yng

Inasemakana kuwa maamuzi hayo ya Yanga, ni maamuzi ya hasira na yanatajwa kuja kutokana na TFF imewakosea kuingia mkataba na Azam TV wa kurusha mechi hiyo live pasipo wao kushirikishwa, wakati wao wanaamini kuwa mechi hiyo ikioneshwa Dar es Salaam watakosa mapato.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents