Burudani
Kusaga : Sina share kwa Diamond, nimemsaidia tu kutimiza ndoto zake (Video)
Bosi wa Clouds Media, Joseph Kusaga amedai hana share kwenye biashara za Diamond Platnumz bali amemsaidia ili na yeye atimize ndoto zake.