Habari

Kussaga afuta kesi dhidi ya Mapacha

Kesi ambayo iliyokuwa ya madai ambayo ilifunguliwa na Joseph Kussaga na kutangazwa
kwenye gazeti la Mwananchi dhidi ya Levinson na Jamse Kasulwa ‘Mapacha’ katika mahakama
ya Kisutu kesi hiyo imefutwa.

Mapacha ambao ni wasanii ambao ni miongoni mwa wasanii wanaounda
kundi la Anti Virus, waliungana na wasanii wenzao wa kundi hilo mahakamani kwa ajili ya
kusikiliza shauri siku ya leo,ambapo walipewa taarifa kwamba kesi hiyo imefutwa.

Wasanii hao hivi sasa wamepanga kuandika barua kwa ajili ya kupata kopi ya file lao, ambalo wanadai litawapa mwanga zaidi wa maamuzi yakuchukua iwapo patahijika.

Mapacha hao walionekana kusindikizwa na Miongoni mwa wasanii wenzao wa kundi hilo la ‘vinega’ ambao walikuwepo ni Suma G na mkoloni

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents