Habari

Kutana na dogo anayejiingizia mkwanja kwa kuigiza sauti za wanyama (Video)

Bongo5TV Jumatano hii imekutana na dogo, Long Mars ambaye amedai amekuwa akikijiingizia kipato kupitia sanaa yake ya kuigiza sauti za wanyama mbalimbali. Mars amedai anapenda sana kuigiza, na sasa tayari anaweza kuigiza sauti 16 za paka,3 za mbwa, Sungura pamoja na wanyama wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents