Burudani ya Michezo Live

Kutana na George Jonas mwanafunzi wa Ilboru anayefanya kazi na kampuni ya Boeing nchini Marekani

Kutana na Mtanzania, George Jonas ambaye anafanya kazi kwenye Kampuni ya Boeing ya nchini Marekani.

Image may contain: 1 person
George Jonas

George anafanya kazi kama Mhandisi wa umeme kwenye kampuni hiyo, na ameshiriki kwenye utengenezaji wa ndege mpya ya ATCL aina ya BOEING 787 Dreamliner.

George ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya amezaliwa mwaka 1977 na kusoma kwenye shule ya vipaji maalumu ya Ilboru akichukuwa mchepuo wa PCM na baadae kufanikiwa kwenda kusoma nchini Marekani. Tazama hapa chini historia yake kamili

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW