Habari

Kutana na kijana anayejishughulisha na ususi “Sipendi watu wanavyoniita bwabwa” (Video)

Kijana mjasiriamali Sady Kilwa Road ambaye anashungulisha na masuala ya urembo, ususi, massage pamoja na kufanya make up amefunguka kuzungumzia watu wanavyomchukulia kufanya kazi hiyo.
https://www.instagram.com/p/CFgzEA1hvFr/

Amezungumza na Bongo5TV Alhamisi hii akiwa kwenye mashindano ya Msusi Challange yalioadaliwa na msanii wa muziki @officialnandy ambapo zaidi ya wasusi 300 walishiriki.

Sady amedai moja ya changamoto kubwa anayokutana nayo ni ile ya kuonekana kama shoga kitu ambapo hapendi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents