Kutekwa kwa Abdul Nondo ni uzushi mtupu – Kamanda Mambosasa (+video)

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam limesema kuwa Mwanafunzi Abdul Nondo ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa chama cha UDSM amesema kuwa kutekwa kwa Abdul Nondo ni uzusghi mtupu amesema uzushi huo ulikuwa na malengo ya ovyo. Tazama video hii akieleza Kamanda huyo.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW