Michezo

Kwa jero tu watu wajishindia smartphone Babkubwa, Papy Tshimbi aambulia kutazama kwa macho (+video)

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa hii leo imefanya droo yake ya nne ya promosheni ya faidika na jero ambapo jumla ya washindi saba wamepatikana na kufanikiwa kuondoka na simu aina ya Samsung Galax A10s huku mwisho wa promosheni hiyo ikitarajiwa kuwa tarehe 30 Jumatano na mshindi atakayepatikana kwenye droo kubwa basi atajinyakulia gari.

Kiungo wa klabu ya Yanga Papy Kabamba Tshimbi raia wa DRC Congo alikuwa ni mmoja kati ya wajumbe waliyowapatia simu washindi hao.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents