Burudani

Kwa niaba ya CCM: Polepole akutana na wasanii wa Bongo Fleva na Filamu kujadili changamoto zao (+video)

Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole leo Oktoba 23, 2018 amekutana na Wasanii wa filamu na Bongo Fleva kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakumba kwenye kazi zao.

Akizungumzia juu ya tukio hilo, RC Makonda amesema kuwa na yeye alialikwa kwenye kikao hicho kujadili changamoto hizo.

Hata hivyo, kikao hicho kilichofanyika kwa siri katika Hoteli ya Selena jijini Dar Es Salaam haijaelezwa kama kulikuwa na agenda nyingine zaidi ya kujadili changamoto.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents