Burudani

Juma Sharobaro afunguka kuhusu ndoa, umri wangu ni kama sura yangu (+Video)

Msanii mpya wa muziki, Juma Sharobaro amefunguka kuhusu kushiriki katika tamasha la BSS, akizungumza na Bongofive msanii huyo chipukizi amegusia aina ya mwanamke ambaye angependa kumuoa siku moja muda ukifika wa kufanya hivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents