Habari

Kwa ushahidi huu, maisha ya Mtanzania yamekuwa rahisi sana (+video)

Kama wewe umekuwa ukisumbuka kutafuta simu janja na umejikuta ukishindwa kununua kutokana na ukubwa wa bei  wa simu unayoipenda, basi Vodacom wamekurahisishia maisha ambapo wamekuletea promosheni ya WEKESHA itakayokuwezesha kununua simu kwa kulipia kidogo kidogo na kujishindia smartphone kutoka Bongo5.

Na kama hiyo haitoshi, pia utakapolipia kiasi hicho, namba yako itaingizwa kwenye Droo ya Wekesha Challenge inayochezeshwa na Bongo5 na utajishindia Simu Janja (SmartPhone) za aina mbalimbali.

FAHAMU ZAIDI KUHUSU VODACOM WEKESHA.

Wekesha na Jishindia SmartPhone kutoka @vodacomtanzania kwa kututumia screenshot ya meseji uliyotumiwa na Vodacom baada ya kuwekesha asilimia 10 ya bei ya manunuzi ya simu uliyoichagua kuinunua kutoka kwenye maduka ya Vodacom. Jinsi gani unaweza kujishindia zawadi hizi za simu kutoka Bongo5.? Kwanza bonyeza *149*96# na kisha jisajili na lipia 10% ya simu unayotaka kununua au tembelea kwenye maduka ya vodacom yaliyotapakaa nchi nzima kwa ajili ya kuanza kuwekesha. Ukishamaliza kulipia asilimia 10%. Vodacom watakutumia ujumbe na huo ujumbe usiufute bali Screenshot na ututumie sisi Bongo5 kwa kutu-tag kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii (Facebook,Twitter na Instagram @bongofive). Na hapo tutachukua jina lako na kuliingiza kwenye droo ya kushindania Smartphone Bomba na Tablets ambapo kila wiki washindi watakuwa wanatangazwa kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii. #Vodacomyajayoyanafurahisha#wekeshachallenge

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents