Mitindo

Kwa wanawake tupia ‘Wedges’ viatu ambavyo vitakufanya uwe comfortable kipindi hiki cha mvua

Waremboo! natumaini mko poa kabisa na leo tutaongela kuhusu viatu virefu aina ya ‘Wedges’.

Aina ya viatu hivi virefu huvaliwa hasa na wadada walio na miili mikuwa (Wanene) kwa sababu za kiusalama zaidi ila pia wadada wasio na miili mikubwa kupenda kutinga viatu hivi.

Wedges ni viatu zilivyo na soli nene na pia kupendelewa kwa sababu urefu wake unakuwa balance kote ( kuanzia mchuchumia hadi mbele kulingana) na ndio maana watu huvipenda.

Kwa kipindi kirefu viatu hivi vimekuwa katika ulimwengu wa fashion licha ya kuwa watu huvi kwepakwepa. Uzuri wa Wedges unaweza ukavaa na ukawa huru zaidi hata ukikanya ga jiwe na pia havikupi limit ni muda gani na wapi uvivae.

Kifashion kabisa unashauri kwa mwanadada mrembo na mwanamke wa kisasa si mbaya ukawa na walau pair mbili za viatu vya wegdes.
Vipo Wegdes za aina tofauti zipo za wazi zeye mikanda na zakufunika miguu. Ni vizuri unawa na aina zote hizo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents