Promotion

Kwanini Tecno Phantom Z Mini ni simu ya kuwa nayo sasa

Una mpango wa kununua simu mpya na kali? Kama bado upo kwenye mgongano wa mawazo na hujui ununue simu gani kali basi Tecno Phantom Z Mini (V7) haina mpinzani kwa sasa.

Tecno

Kwanini uwe na simu ambayo ukiweka nyimbo chache tu na data zingine kidogo inajaa na kuanza kukusumbua kiasi cha kufuta kila mara? Phantom Z Mini ina memory ya ndani yenye ukubwa wa GB 16! Ukiwa na GB 16 unaweza kuweka album kibao za wasanii uwapendao na video za muziki. Unaweza kuweka hadi movie nyingi unazoweza kuzihamisha baadaye na kuziangalia kwenye screen yako maskani au kwenye PC/Laptop

Ina kioo cha inchi 5 ukubwa unaotosha kukupa mtazamo wa kuvutia. Na picha Je? Hapo unaziona kwa ukubwa wowote unaotaka?

Ina laini mbili: Ile michongo ya kubeba simu nyingi mfukoni kama haina tena kiki siku hizi au sio? Phantom Z Mini ina line mbili so fanya kuitafuta utishe.

Unataka kutupia selfie fulani amazing kwenye Instagram halafu uvute likes comments kibao kutoka kwa wana? Phantom Z Mini haina mshindani kwenye sekta hii.

Camera yake ya mbele (ile inayofaa zaidi kuchukulia selfie) ina flash na pia ina mega pixels 8 (kwa taarifa yako tu smartphones nyingi za mfano huu zina camera ya mbele yenye mega pixels 2 tu. Camera yake ya nyuma ni bomba zaidi kwakuwa ina mega pixels 13 inayoweza kukupa picha tamu balaa!

Vipi kuhusu stress ya chaji kama smartphones nyingi zilivyo? Kwa Phantom Z Mini ni hadithi tu. Simu hii ina betri inayodumu kinomanoma na chaji na uwezo wa 2420mAh. Unangoja nini sasa? Nenda kajipatie Phantom Z Mini kwa shilingi 430,000 tu kwenye maduka yote Tecno Tanzania.

Tushukuru baadaye!

Like ukurasa wa Facebook wa Tecno Mobile Tanzania hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents