Michezo

Kyle Edmund amshushia kipigo Andy Murray michuano ya Nature Valley International 

Mcheza tennis namba moja katika viwango vya ubora wa mchezo huo nchini Uingereza, Kyle Edmund amefanikiwa kuibaka na ushindi mbele ya Andy Murray kwenye michuano ya Nature Valley International.

Mcheza tennis wa Uingereza, Kyle Edmund

Andy Murry arejea kwa kishindo kwenye Uga wa Tennis

Kyle Edmund ameibuka na ushindi huo baada ya kumfunga Andy Murry kwa jumla ya seti 6-4 6-4 kwenye raundi ya pili ya mchezo huo.

Mchezaji Andy Murray 

Bingwa huyo mara mbili wa michuano ya Wimbledon, Murray huo ni mchezo wake wa pili tangu toke kuuguza majeraha yake yaliyomfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa mwaka mmoja.

Kwenye michuano hiyo Mcameron, Norrie ameibuka na ushindi wa jumla ya seti 6-4 6-3 dhidi ya Jay Clarke na sasa kukabiliana na Lukas Lacko.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents