Michezo

Kyle Edmund apata kipigo kutoka kwa Mikhail Kukushkin michuano ya Nature Valley International

Kyle Edmund amekubali kuyaaga mashindano ya Nature Valley International baada ya kupata kipigo kutoka kwa Mikhail Kukushkin na hivyo kukatishwa tamaa na maandalizi yake ya kuelekea Wimbledon.

Kyle Edmund amshushia kipigo Andy Murray michunao ya Nature Valley International

Kwenye mchezo huo uliyofanyika huko Eastbourne raia huyo wa Uingereza ameshindwa kufurukuta mbele ya Mikhail Kukushkin na kujikuta akipokea kipigo hicho hatua ya robo fainali kwa jumla ya seti  5-7 6-3 6-1.

Hii ni kwa mara ya kwanza Edmund  kukutana na Kukushkin ambaye anashika nafasi ya 90 kwenye viwango vya ubora wa mchezo huo duniani na kujikuta akipokea kipigo hicho ambacho kimemfanya kuyaaga mashindano hayo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents