Burudani

Kylie Jenner aendelea kuweka wazi sura ya mwanae

Baada ya Kylie Jenner kumuonyesha mwanae kwa picha za mbali na zenye ukungu (Autofocus), mrembo huyo ameanza kuiweka wazi sura ya mtoto wake huyo aliyezaa na mpenzi wake rapper Travis Scott.

Kupitia mtandao wa Instagram, Jenner ameweka picha mbili akiwa amembeba mtoto wake huyo ambaye leo ametimiza mwei mmoja na kuandika, “my angel baby is 1 month old today.”

Mtoto huyo ambaye ni wakike alipewa jina na Stormi Webster.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents