Burudani
Ladies and gents…..Nuru the light
Nuru jana aliwakuna washabiki wake vilivyo kwenye klabu ya Florida Key West akishirikiana na bendi ya Odama na kuonyesha pia ana sauti ukiachana na urembo wake
Ruge akicheki vijana wake wanvyopiga mzigo
Mpaka chini, mpaka chini
Mauzo kidogo huku kazi inaendelea
Hakuna kukaa