Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Lady Bee anena juu ya matumizi ya Bangi

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Lady Bee ambaye aliwahi kufanya kazi kibao ikiwemo Genge love, amefunguka kuwa alikuwa mtumiaji mkubwa wa madawa ya kulevya aina ya bangi.

Lady Bee ambaye kwa sasa anafanya muziki wa injili baaada ya kuokoka, ameandika kupitia mtandao wake wa Facebook kuwa alikuwa akitumia madawa hayo kwa kufikiria ataweza kufanya kazi bila uwogo.

“Ever since I gave my life to Christ,many things have changed in my life I used to worry alot about how things will work out,I was so afraid fear was in me and that’s why I also used,kindukulu,ombitho,ndom,weed to give me courage even to believe things are alright,” ameandika msanii huyo kwene mtandao huo.

Pia aliongeza, “Unajua ukiwa muoga wa kitu hujui inakufanyaga unajificha kwa mambo mengine wengine, pombe, usherati, wizi yaani shetani hakosi department yakukupa ili ufeel uko poa upate moral kumbe yee hanaga ukweli wowote.”

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW