Habari

Lady Gaga aisifia bangi imemsaidia kimuziki, apanga kumuomba Obama aihalalishe Marekani

Lady Gaga ameisifia bangi wakati akiperform kwenye steji jijini Amsterdam.

Mwanamuziki huyo mwenye miaka 26 aliwaambia mashabiki wake kuwa amepunguza kunywa pombe kwasababu anapendelea zaidi kuvuta bangi na kudai kuwa imemsaidia katika muziki.

Kwa mujibu wa gazeti la The Sun: “I want you to know it has totally changed my life and I’ve really cut down on drinking. It has been a totally spiritual experience for me with my music.”It’s like saying everybody needs to take a breath and it’s going to be OK.”

Alitania pia kwa kusema kuwa ana mpango wa kwenda kuzungumza na rais Barack Obama kumtaka aihalalishi nchini Marekani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents