Habari

Lady Gaga: Nataka perfume yangu inukie ‘kimalaya’

Hivi karibuni Lady Gaga ameamua kufuata nyayo za waimbaji wenzie Jennifer Lopez, Justin Bieber, Katy Perry na Britney Spears kwa kuanzisha perfume yake iitwayo Fame.

Akiongea na mtandao wa Access Hollywood, jana jijini New York, Gaga amesema imewachukua wanasayansi miezi sita kufikiria teknolojia ya perfume isiyoacha uchafu ipulizwapo kwenye nguo (non-staining) kama ilivyo Fame.

“I don’t think that women need to smell interesting. I have an interesting mind but I want to smell like a slut … I mean it in a lovely way like the way your husband makes you feel when you’ve had a really long day and he knows exactly what to say to you to make you feel sexy, aliiambia CNN.”

“It’s a fragrance for a woman that wants to be taken to bed, certainly.”

Tangazo la manukato hayo linamwonesha Gaga akiwa mtupu huku watu kibao walio kwenye maumbo madogo wakipanda juu yake.
Bei ya manukato hayo inaanzia $19, $79 hadi $100 huku kukiwa na bidhaa zingine kama sabuni, sabuni ya kuogea na body lotion.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents