BurudaniLady Jay Dee

Lady Jay Dee kuachia siri nzito!

jide

Tanzanian Songstress Kommando Jide, jana usiku amewaacha fans katika hali ya surprise baada ya kufunguka kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika yafuatayo,


Ile ari na msisimko, na kiherehere cha kujidai eti LADY JAYDEE proudly Tanzanian, unaanza kunitoka.. Mnadhani ni kwanini???

Kesho asubuhi nikiamka nitakuja kuwapa story kuhusu Maji ya LADY JAYDEE yalivozuiliwa na TFDA halafu maji mengine ya kiwanda hicho hicho yakaendelea kuuzwa, nadhani ni wakati wa kusema ukweli kuhusu kila kitu bila kuogopa tena cha kusikitisha watanzania wenzetu ndio wanaoturudisha nyuma na kushangilia kuanguka kwetu…. Goodnight guys”

Tumekaa mkao wa kula, tunasikilizia yaliyomsibu dada yetu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents