Burudani

Lady Jaydee aeleza A-Z kuhusu tour yake bara la Afrika (+Audio)

Hivi karibuni malkia wa Bongo Fleva, Lady Jaydee alitangaza kuanza kufanya ziara yake ya muziki katika bara la Afrika – Akiongea na Bongo5, msanii huyo amefunguka kiundani kuhusu ziara hiyo.

Jaydee amesema ziara hiyo itaanza mwezi Juni mwaka huu katika mji wa Bujumbura, Burundi na pia atafanya show kwenye miji mingine miwili nchini humo.

Jide ameongeza kuwa kwenye ziara yake hiyo hatazungukana msanii mwingine kutoka Bongo bali atakuwa akifanya na wasanii wa nchi husika ambayo atakuwa anatumbuiza.

Hata hivyo Jide hajaweka azi ni nhi ngapi atazunguka kupitia ziara yake hiyo ya kwanza katika historia ya maisha yake ya muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents