Lady Jaydee afunguka sakata la Vanessa kuacha muziki (Video)

Msanii wa muziki wa BongoFleva @jidejaydee kuelekea miaka 20 ya muziki wake amesema kitu anachojivunia kwa sasa kwenye maisha ya muziki ni kutimiza miama 20 kwenye game la Muziki.

Muimbaji huyo amesema muziki una changamoto nyingi sana hivyo kutimiza miaka hiyo na bado unafanya vizuri ni jambo la Kumshukuru Mungu.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW