Lady Jay Dee

Lady Jaydee awaleta Ogopa kushoot video ya Yahaya, Dude kuigiza kama mhusika mkuu

Vipi kama Dude aliyejichukulia umaarufu kwenye mchezo wa ‘Bongo Dar es Salaam’ kwa tabia yake ya utapeli akiigiza kama Yahaya kwenye wimbo wa Lady Jaydee wenye jina hilo?

BPOjftvCAAADbRc
Yahaya akifanya yake (utapeli)

Nahisi jamaa anafit kwendana na kile kinachoimbwa na Lady Jaydee kwenye wimbo huo na bila shaka video hii itavunja mbavu wengi.

BPOjDOhCcAADqCO
Yahaya (Dude) akiwa Gym

Video hiyo imefanywa na kampuni ya Kenya ya Ogopa Videos. Jaydee ameshare baadhi ya picha za behind the scenes kupitia Twitter.

31

41

Dude ameiambia Bongo5 leo kuwa wameanza kushoot video ya Lady JayDee Yahaya tangu jana na pia bado wanaendelea. Location ikiwa Nyumbani Lounge na kwingine.

Picha mbili za mwisho ni kwa hisani ya bongomovies.com

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents