Lady JayDee na Gardner G. Habash wakutanishwa na msiba wa mke wa Ephraim Kibonde

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Lady JayDee amekutana kwa mara ya kwanza uso kwa uso na aliyekuwa mume wake, Gardner G. Habash kwenye msiba wa mke wa mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds Fm.

Wote wawili walipeana mikono na kisha kumfariji mfiwa mapema mchana wa leo nyumbani kwa Kibonde maeneo ya Riverside.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW