Burudani

Lady Jaydee, Salama, Batuli na Mimi Mars katika siku ya Wanawake Duniani

Ikiwa leo ni siku ya Wanawake Dunia watu mbali mbali wamekuwa na la kuzungumza katika siku hiyo muhimu.

Wasanii wa muziki, waigizaji na watangazaji wa kike wametumia mitandao ya kijamii kuizungumzia siku hiyo. Hivi ndivyo walivyoandika Lady Jaydee, Salama, Batuli na Mimi Mars;

mimi_mvrs11HAPPY WOMENS DAY TO ALL THE FEMALES IN THE WORLD! God Bless Us and cheers to our day 🥂although we know WE RUN THE WORLD GIRLS 💪🏾 and let’s try support and empower each other this year and forever 🙏🏾 Let’s refuse to hate on each other Buh encourage and uplift our spirits because together We Are Magic 😃❤ LOVE YOU SISTERS✌🏽

https://twitter.com/JideJaydee/status/971636944273887232

officialbatuliactressNguvu Yetu Haina Mfano Katika Dunia
Uwingi Wetu Huonyesha Wazi Sisi Ndio Wenye Dunia
Tunapatikana Kila Mahala Na Tukikosekana Mambo Hayaendi Sawa
Hakuna Nyumba Inakosa Mwanamke Ila Zipo Nyumba Hazina Wanaume 💪🏾
Happy Women’s Day World 😘
#LetsCelebrateOurDay💕
#TagWanawakeTu
#ShowLove❤

Kihistoria, siku hiyo ilianza kwanza kwa kuitwa siku ya wafanyakazi wanawake ya kimataifa.

Maadhimisho yalianza March 8, 1857 baada ya wafanyakazi katika kiwanda cha nguo jijini New York nchini Marekani kugoma kutokana na mazingira mabaya ya kazi hali hiyo ilipelekea takribani wanawake 129 walipoteza maisha kutokana na moto kiwandani hapo

Mwaka 1910, nchini Denmark kulifanyika kongamano kuwakumbuka wanawake hao waliofariki na walipitisha kuwa March 8 ya kila mwaka, ifanyike siku ya Wanawake Duniani.

December 1977, Baraza Kuu la UN lilipitisha na kutangaza kuadhimisha Siku ya Haki za Wanawake na Amani ya Kimataifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents