Tupo Nawe

Lady Jaydee’s Nothing But The Truth tracklist

Lady Jaydee anatarajia kuachia albam yake ya sita hivi karibuni ambayo ameipa jina, Nothing But the Truth. Kama jina la albam hiyo lilivyo, Lady Jaydee ameitumia kuzungumza mengi ya moyoni.

3659_10151343543680025_1057392119_n

Miongoni mwa nyimbo kwenye albam hiyo ni pamoja na Joto Hasira aliyomshirikisha Profesa Jay, Yahaya, Njiwa, Nimekusamehe, Historia na Tell Him.

3578_10151343542270025_1745673796_n

Zingine ni When You Cry, Why?, Msichoke Feat: Machozi Band na Yeye (Bonus Track). Nothing But the Truth itaingia sokoni tarehe 31 May.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW