BurudaniLady Jay Dee

Lady JD aporwa

Image
Habari za kusikitisha zilizofika dawatini ni kuporwa kwa mkoba wa mwanamuziki Lady JD. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea usiku kwenye uwanja wa taifa wakati timu ya soka ya taifa ilipomenyana na Ivory Coast kwenye mechi ya kirafiki. Ishu ilikuwa wakati akitoka akiwa na marafiki zake, miongoni akiwepo mlinda mlango maarufu wa Simba, Juma Kaseja ambapo inadaiwa kundi la vibaka wakiwa na bisibisi na mapanga liliwavamia wakati wakielekea kwenye maegesho ya magari na kupora mkoba huo. Haijafahamika bado thamani ya vitu vilivyokuwemo ndani ‘kipima joto’ hicho

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents