Burudani

Lamar aeleza kwanini haishi na mwanae wa kike mwenye miaka 8!

Lamar ana mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane aitwaye Nisha.

11325407_456422927852406_70969766_n

Akiongea hivi karibuni kwenye kipindi cha Chill na Sky, Lamar alisema haishi na mwanae kwakuwa yupo nje ya nchi.

“Mimi mtoto wangu alikuwa hakai sana na mimi na mama yake alikuwa anaishi Canada sasa hivi yupo Marekani. Huwa anakuja wakati wa likizo tu,” alisema.

11410427_926554737416679_288457196_n

Lamar aliongeza kuwa kuwa na mtoto kumemfanya awe makini katika matumizi ya fedha.

“Inakufanya unakuwa na discipline ya matumizi ya hela. Kila unachopata unajua kabisa I have a family behind me,” alisema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents