Burudani

Lamar awalaumu ma-producer wapya wa muziki kwa kuharibu soko

Producer Lamar kutoka Fishcrab anaamini kwamba ongezeko kubwa la watayarishaji wapya wa muziki ni kikwazo kikubwa kwa soko la muziki Tanzania.

Lamar-1

Lamar amesema kuwa watayarishaji wapya wengi wao wanajali kusikika badala ya maslahi.

“Hwa new age producers wanataka wamtengenezee mtu beat ilimradi asikike redioni na yuko tayari asilipwe ilimradi amesikika tu redioni,” Lamar ameiambia E-News ya EATV. “ lakini inakuwa inaharibu soko kwasababu msanii mkubwa akija kurekodi kwangu nikimtajia price labda milioni mbili ataona kwanini nirekodi milioni mbili na wakati nitapata beat hiyo hiyo kwa bure mtu atanipa, kwahiyo hawa new age producers wanaharibu.”

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents