Bongo5 Exclusives

Lamborghini ‘Veneno’ kuuzwa kwa watu 3 tu duniani kwa zaidi ya Tshs bilioni 6 kila moja

Katika kuadhimisha miaka 50 ya uzalishaji, watengenezaji wa magari ya kifahari duniani ya Lamborghini wa nchini Italia wametengeneza toleo jipya la magari hayo liitwalo Veneno, ambayo itauzwa dola milioni 4 (zaidi ya shilingi bilioni 6 za Tanzania) kwa watu watatu tu duniani ambao tayari walishalipia hata kabla haijatengenezwa.

Lamborghini-Murcielago- LP670-4 SuperVeloce-China-5

Gari hizo tatu zitakuwa na rangi nyekundu, nyeupe na kijani kufanana na rangi ya bendera ya Italia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents