Burudani
Lavalava aionyesha gari yake ya pili mpya (+ Video)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka lebo ya WCB Lavalava ameionyesha gari yake mpya aina ya peugeot.
Hii inakuwa gari ya pili ya Lavalava baada ya gari yake ya kwanza aina ya Harrier