Siasa

Lazaro Nyalandu ashinda uchaguzi Singida kaskazini, apata kura 197 kati ya 228

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu, ambaye Oktoba 30 mwaka 2017 alitangaza kujiuzulu ubunge na kuhamia Chama Cha Demnokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Leo mapema alitangaza nia yake ya kurejea kwenye kinyang’anyiro cha kuwania ubunge wa jimbo hilohilo alilolitumikia kwa miaka 17 tangu mwaka 200-2017.

Baada ya ujumbe huo amepost kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kuwa ameshinda tena kw akura za maoni na atagombea Ubunge kwa mwaka 2020.

Nyalandu ameandika hivi:

Breaking: Matokeo ya kura za maoni Singida Kaskazini. Kura ZILIZOPIGWA, 229. Kura HALALI 228. Kura ZILIZOHARIBIKA 1. David Jumbe amepata kura 31. (13.53%) Lazaro Nyalandu amepata kura 197 (86.02%). TUSONGE MBELE.

https://www.youtube.com/watch?v=zX9jmeD2Pts

https://www.youtube.com/watch?v=WLLEU67tdNo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents