Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Lebo ya Ycee yavunja mkataba na Sony Music

Kampuni ya Tinny Entertainment ambayo inamsimamia msanii wa Nigeria, Ycee imevunja mkataba wake wa usambazaji wa kazi za muziki na Sony Music (West Africa).

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni mizi 15 imepita tangu akampuni hayo yaliposaini mkataba huo wa kufanya kazi pamoja. Tinny wametoa taarifa ya kuvunja mkataba huo kutokana na madai kuwa mkataba huo hauna manufaa kwa upande wao zaidi ya kuinufaisha kampuni ya Sony.

Soma taarifa hiyo hapa chini.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW