Michezo

LeBron James arudi darasani Ohio Marekani

LeBron James arudi darasani Ohio Marekani

Mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani, LeBron James ameamua kujiunga na shule ambayo amewahi kusoma huko Ohio huku akiwa na kibarua cha kuitumikia Los Angeles Lakers kwenye msimu wake wa kwanza.

LeBron James returns to his old stomping ground to practise inside the school's empty gym

James mwenye umri wa maiaka 33 kupitia mtandao wake wa kijamii posti picha zinazomuonyesha akifanya mazoezi kwenye ‘gym’ ya shule ya St. Vincent–St. Mary High School ambayo amejiunga.

The small forward posted a series of photos to his Instagram page to pay tribute to the school

LeBron James ambaye amejiunga na Los Angeles Lakers akitokea Cleveland Cavaliers aliyoanza kuitumikia tangu mwaka 2014 ameeleza kuwa anachohitaji yeye ni kuifanya shule hiyo aliyopata kusoma hapo hawali kujivunia uwepo wake baada ya kuwa mchezaji mwenyethamani kubwa.

He said: 'Love what St. V did for me while I attended and in return I just try to make you proud!'

”Hakuna ninachopenda kama kuwa sehemu ambayo sote tunaanzia maisha ya kazi,” ameandika James akiwa ndani ya shule hiyo.

LeBron James  ameongeza ”’Najihisi ni mwenyefaraja kubwa. Napenda kile  St. Vincent–St. Mary High School kilichonifanyia wakati nilipokuwa nikija shule na kuondoka.”

The 33-year-old is gearing up for his first season at LA Lakers following his trade this summer

James mara kadhaa amekuwa akirudisha fadhila kwa jamii na hata kuchangia dola milioni moja kwenye shule hiyo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents