MichezoUncategorized

Lebron, Stephen Curry wazibeba timu zao kwa mara nyingine NBA (Video)

Katika mwendelezo wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA jana alfajiri na leo alfajiri imefanyika michezo katika Playoff ya conference final ikiwa ni michezo ya tatu kila upande huku katika zone ya Eastern Cleveland akimpiga Celtics kwa vikapu 116 kwa 86 na katika Zone ya Western Conference Warrior akimtandika Rockets vikapu 126 kwa vikapu 85 huku Stephen Curry akifunga vikapu 35. Je katika michezo minne iliyobakia timu zipi zitafanikiwa kutinga katika fainali ya ligi hiyo?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents