Michezo

 Leeds United yamtimua kocha wake, Paul Heckingbottom

Klabu ya Leeds United ya nchini Uingereza imeachana na kocha wake, Paul Heckingbottom baada ya kuiyongoza timu hiyo kwa muda wa miezi minne pekee.

Ripoti zanaeleza kuwa aliyekuwa kocha wa Argentina, Athletic Bilbao na Marseille,  Marcelo Bielsa huwenda akawa mrithi wa Heckingbottom.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 40, aliachana na klabu yake ya zamani ya Barnsley mwezi Februari na kujiunga na Leeds iliyomaliza nafasi ya 13 kwenye ligi ya Sky Bet Championship.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents