Michezo

Leo ndiyo Leo

simbayanga

Leo ndiyo leo mahasimu  wawili Simba na Yanga leo wanakutana kwenye viwanja vya Taifa kwenye LIGI Kuu ya soka Tanzania Bara, leo kwa mara ya kwanza tangu kuanza msimu inafikia hatua tamu. kama waswahili wanavyosema mwamuzi ni dakika tisini, na wala si maneno matupu…


Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents