Habari

Leo ndiyo leo Miss Tanzania 2011

Mazoezi_misi_face

Ule mchakato wa kutafuta kimwana wa Tanzania mwaka 2011, sasa umeshafikia kutamu kwamaandalizi yote kuwa tayari na hatmaye washiriki leo kuchuana live kwa kumtafuta Miss Tanzania Voda Com 2011, ambaye atakuja kuiwakilisha Tanzania kwenye Miss World.


Maandalizi yote tayari na mashindano hayo yatafanyika pale mlimani City, hakika si jambo la kukosa kwani kila mmoja ataweza kujionea urembo wa walimwende hao, ambao watakuwa mabarozi wazuri wa nchi yetu pindi wakifika kwenye mataifa mengine wakati wa mchakato huo.

mazoezi_misi_jukwaa

Warembo wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho siku ya ijumaa, kabla ya kuingia kwenye jukwaa leo na mmoja wapo kuiwakilisha Tanzania kwenye medali ya Urembo.

Mazoezi_misi_kamera

makamera nayo yaliandaliwa kwaajili ya kuweka mambo sawa

Mazoezi_misi_magoti

Mazoezi_ukumbi

Mazoezi_misi_michael_Jackoson

Kama hujawahi kumuona Michael Jackson Live, leo ukija utamuona pacha wake aliyezaliwa Tanmzania, huyu hapa anaitwa John

Mazoezi_misi_viti

Mazoezi_misi_ukumbi

Mazoezi_misi_Diamond

Diamond naye alikuwepo kwaajili ya kushuhudia mamisi wakijiandaa

Mazoezi_mi_misi_nje

kwa nje mambo yalikuwa kama hivi,

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents