Picha
LHRC watoa tamko kuadhimisha siku ya amani duniani
Katika kuadhimisha siku ya amani dunia, kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, LHRC kimetoa tamko lake.
Chini ni tamko lenyewe kama lilivyoandikwa na Mkurugenzi Mtendaji, Dkt Helen Kijo-Bisimba.