Burudani

Like Father Like Son: Fid Q na Stamina kushare stage Billcanas Jumapili hii

Jumapili hii baba na mwana katika Hip Hop ya Tanzania watashare stage moja pale Club Billcanas kwenye show iliyopewa jina la Like Father Like Son. Baba ni Fid Q na mwana ni Stamina. Tayari mtu na mwanae wameshafanya ngoma kadhaa ukiwemo unaofanya vizuri kwa sasa, Wazo la Leo.

417668_541906159175750_1306855465_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents